Sindano ya Ukoma – Taswira ya Wiki

Athari ya matumizi ya mihadarati ni tatizo sugu hasa kwa waraibu wale walio na nia ya kujinasua kutokana na janga hilo.

Muhammad Abdallah aambukizwa ugonjwa wa ukoma kufuatia matumizi ya mihadarati.

Ungana naye Talia Kwekwe kwa maelezo zaidi.