Nakshi Nakshi

Wanasema kaa mkao wa kula, safari hii Raia tv inakuletea kipindi kitakacho kutumbuiza na vile vile kukuelimisha. Nakshi Nakshi inakujia hivi karibuni na Mtoto Halua ya Lozi Gwiji wa unyagoni.