Mtoto wa miaka 4 atekwa nyara – Taswira Ya Wiki

Anudha Abbas, mtto wa miaka 4 atekwa nyara na kupotea katika mazingira ya kutatanisha.

Anudha anadaiwa kutekwa nyara na mwanamke mwenye asili ya kiswahili wakati alipokua akitoka shule majira ya alasiri.

Tazama taarifa zaidi naye Talia Kwekwe