Hamasa Kwa Walemavu – Taswira Ya Wiki 16/06/2019

Hamasa imetolewa kwa jamii ya walemavu kuwapeleka watoto walemavu katika shule zinazostahili huku serikali ikiiombwa kutilia mkazo swala hili. Katika Taswira wiki hii, mwanahabari wetu Kea Amani anatupa taarifa zaidi…