Familia Za Kurandaranda – Taswira Ya Wiki 15/06/2019

Familia za kurandaranda wanazidi kuongezeka mjini Mombasa. Mwanahabari wetu Talia Kwekwe anatupa habari zaidi katika Taswira Wiki Hii